Chama cha Mapinduzi kimesogeza mbele vikao vyake ambapo kikao cha CC kitamalizika usiku huu na kikao cha NEC ambacho kilipangwa kufanyika usiku huu kimesogezwa mbele mpaka kesho saa 5 asubuhi na mkutano mkuu utafanyika saa 8 mchana!
No comments:
Post a Comment