Translate

Monday, July 27, 2015

CHADEMA WAZIKANA PICHA ZILIZOSAMBAA LEO!

Chadema kupitia mitandao ya kijamii wamezikana picha zilizosambaa asubuhi ya leo zikiomuonyesha waziri mkuu mstaafu mh Lowasa akiwa ndani ya kikao cha kamati kuu na kutangaza rasmi kujiunga na Chadema.

Kabla hatujaziamini hizo picha tulitakiwa kujiuliza maswali mengi sana
Kwanza kwenye meza kuu naibu katibu mkuu mh John Mnyika kwa nini hayupo?
Kwanini ampishe Lowasa meza kuu na hana cheo chochote?
Na kama ni kamati kuu kwa nini akae mbele wakati yeye ni mgeni?
Je ni protocol gani ilitumika?

Anyway acha tuendelee kujipa uhakika!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment