Waziri mkuu mstaafu was jamhuri ya muungano Mh Edward Lowasa leo amekihama chama cha mapinduzi {CCM} na kujiunga na CHADEMA
Akiongea na waandishi wa habari amesema kuwa alionewa ndani ya CCM na ameamua kutafuta mabadiriko ndani ya CHADEMA . Pia mh Lowasa amechukua kadi ya chama chake kipya!
No comments:
Post a Comment