Christian Ronaldo na Lionei Messi ni wapinzani wakubwa ndani ya soka na siku zote huwezi kupata nani ni bora zaidi ya mwenzie
Hata tuzo zitolewazo na FIFA zimekuwa zikilalamikiwa kutokana na kila mmoja wao kuwa na mashabiki wengi
Kuna jambo jingine ambalo limegunduliwa na watafiti liwahusulo magwiji hawa was soka duniani
Kwani tofauti ya umri wao ambao ni miaka miwili na miezi kadhaa ni sawa na tofauti ya watoto wao pia
Angalia picha kwa ufafanuzi zaidi!!!!!!
No comments:
Post a Comment