Mchezaji nguli wa soka duniani Cristiano Ronaldo anayechezea klabu ya Real Madrid ya Hispania amenunua jumba la kifahari kwenye jiji la New York Marekani kwa dola milioni 18 sawa na zaidi ya bilioni 30 za kitanzania
Wazo la kununua jumba hilo alilitoa kwenye novel ya 50 shades of Grey
Ila Luna uvumi unaendelea kuenea kuwa kununua jumba hilo no mipango ya kwenda kustaafia soka lake marekani kama ilivyo kwa wanasoka wengine ambao wamekuwa wakienda kumalizia soka lao Marekani!
No comments:
Post a Comment