RAISI Dr JOHN POMBE MAGUFULI AHUDHULIA IBAADA YA KRISIMAS
Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli akihudhuria Ibada ya Krismasi katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es Salaam leo. Amewahimiza raia washerehekee sikukuu za Maulid, Krismasi na Mwaka Mpya kwa amani na utulivu.Picha/Ikulu ya Tanzania
Mh Raisi akiongea na waumini leo kwenye kanisa la Mt Peter
Mh Raisi akisalimiana na Polkapu Pengo
No comments:
Post a Comment