Translate

Thursday, February 4, 2016

BOMOABOMOA YAHAMIA CCM

BOMOABOMOA DAR: Mahakama yaamuru mabanda ya CCM Shekilango Jijini Dar, yabomolewe na muda huu majengo hayo yanaendelea kubomolewa.



-Sehemu hiyo ni maarufu kama dagaa dagaa ambapo jioni watu walikuwa wakikutana kubadilishana mawazo kupata vyakula na vinywaji.
Zaidi, Soma => http://goo.gl/TpVOkN

No comments:

Post a Comment