MWANAMZIKI nguli nchini Diamond ameendelea kuhakikisha anatumia kila fursa inayokuja mbele yake,
MWANAMZIKI nguli nchini Diamond ameendelea kuhakikisha anatumia kila fursa inayokuja mbele yake,ambapo hivi karibuni mara baada ya kusaini mktaba mnono wa mamilio ya pesa,staa huyo akiwa na timu yake nzima na maofisa wa vodacom walizuru nchini South Afrika kwa ajili ya kukamilisha kazi mbalimbali za kibalozi ambazo zinamuhusu Diamond.
Diamond ameandika haya kupitia ukurasa wake wa instagram
Kwa sasa nipo South Africa kikazi lakini wiki ijayo nikirudi tu Tanzania nataka nitoe zawadi kwa watu 30.... ambao watakuwa wako na line ya Vodacom ntawaekea Vocha ya Elf Hamsini 50,000/= kwa kila Mmoja na Internet ya Mwezi Mzima Bure!!!!
No comments:
Post a Comment