Roma Mkatoliki ni msanii kutoka kwenye ukoo wa bongofleva ambaye anaimiliki post hii kutokana na maamuzi yake ya kuamua kuoa, picha hizi naambiwa ni kutoka kwenye Send-off akisindikizwa na mpambe wake akiwa ni Kala Jeremih ambaye pia ni msanii wa bongofleva.
Kwenye picha ya pamoja na Mama
Kala Jeremih na Roma
Roma na Nancy ambaye ni mama wa mtoto wake aitwae Ivan (Picha zote zimepigwa na @KIDETE Instagram) picha zimetoka kwa @KalaJeremiah Instagram.
No comments:
Post a Comment