Translate

Saturday, March 12, 2016

ESTER BULAYA AKAMATWA NA POLISI AKIWA HOTELINI USIKU

Polisi wavamia hotel aliyofikia Ester Bulaya na kumkamata majira saa  7:30 usiku jijini  Mwanza kwa maagizo ya Speaker wa Bunge Job Ndugai na kumfikisha kituo cha kati cha Jijini Mwana akiwa amefatana na Mhe. Halima Mdee (Mb), Joyce Sokombe (Mb), Mekere (Mwenyekiti wa kanda Magharibi) pamoja na Wakili John Malya

No comments:

Post a Comment