Kwa msaada wa milardayo.com
Ripoti kutokea Mwanza muda huu ni hii ya Mbunge wa zamani Ezekia Wenje jimbo la Nyamagana na Mbunge wa sasa Stanslaus Mabula kwenye kesi ya kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015, naambiwa kesi imesimamishwa kuanzia saa 6 mpaka 8, Mahakama itaendele kusikiliza mashahidi kwa upande wa Wenje,
No comments:
Post a Comment