Translate

Friday, April 1, 2016

WASANII WA BONGO WATASUBILI SANA : HILI NDO JUMBA LA KIFAHARI ALILOHAMIA KANYE WEST NA FAMILIA YAKE...

kanye 23
Hizi ni picha za jumba la kifahari waliohamia wanandoa Kanye West na mke wake Kim Kardashian hivi karibuni.

Kanye na Kim walikuwa wakiishi nyumbani kwa Kris Jenner mjini LA  pamoja na watoto wao wawili North na Saint.
 kanye 2 kanye 3 kanye 4 kanye 5

No comments:

Post a Comment