Translate

Wednesday, May 18, 2016

RAILA ODINGA AKINUKISHA TENA KENYA : ATETA NA VIONGOZI WA DINI

Jana  akikutana  na  viongozi  wa  Dini kiongozi  wa  Cord  Raila Odinga  amesema  maandamano  ya  kutaka  tume ya  uchaguzi  ijiuzulu  yataendelea  kama  kawaida bila  kurudi  nyuma,  kwahiyo  akasema Jumatatu  ijayo  maandamano  yatafanyika  tena.
,.


kwahiyo  akasema Jumatatu  ijayo  maandamano  yatafanyika  tena.
Kwa upande Jubilee muungano  unaongozwa  na  Uhuru Kenyatta  wamesema  hawatakubali  kuona  watu  wasiyokuwa  na  hatia   wakiendelea  kupoteza  maisha  kupitia  maandamano  yanayoongozwa  na  Raila Odinga kila  jumatatu,Wamesema  inatosha !!!!

No comments:

Post a Comment