Translate

Wednesday, August 9, 2017

CLOUDS YACHUKUA MAAMUZI MAGUMU BAADA YA MAKONDA KUGOMA KUOMBA MSAMAHA.

Leo ulifanyika mkutano na Waandishi wa habari ukimuhusisha Mkurugenzi wa vipindi Clouds Media Ruge Mutahaba, RC wa Dar es Salaam Paul Makonda na Jukwaa la Wahariri kuhusu swala la kufungiwa kwa habari za Mkuu wa mkoa Paul Makonda.


Baada ya mkutano huo na mengine yaliyojadiliwa na kauli zilizotolewa ikiwemo ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kusema hawezi kuomba radhi, Ruge Mutahaba amehojiwa na vyombo vya habari baada tu ya mkutano huo kuisha na kueleza msimamo wa CLOUDS.
“Baada ya jambo la leo msimamo wa CLOUDS MEDIA GROUP ni uleule tuliokua nao toka siku ya jumamosi baada ya kupatanishwa na Mh. Rais, siku ile alivyotupatanisha sisi kama Watanzania hatukua na budi zaidi ya kukubali na kurudi kwenye uhusiano wa kiuweledi.
“Leo tuliitwa kwenye kikao kwa kutegemea labda kungekua kuna kingine cha ziada lakini…………………………” Amesema Ruge

1 comment:

  1. Enter your comment...Mbona uliyepost umeleta umbea tu badala ya kuandika kitu cha maana? Sote tumefuatilia kila kilichoongelewa mkutanoni na nje ya mkutano tumefuatilia, hakuna tamko wa msimamo wowote wa Ruge wala Rc Makonda, tulichoona ni Rc Makonda kushikiria msimamo thabiti wakutoviomba vyombo vyahabari radhi kwani ni ukweli usiopingika kwamba vyenyewe ndivyo vilitakiwa viombe msamaha kwa kumzushia mambo lukuki yasiyokuwa na tija kwa Taifa, na tujuavyo sisi Rc. Makonda hategemei hivyo vyombo kufanya kazi yake, kwani visivyotangaza anapata hasara gani? vyenyewe ndivyo vinakosa habari. Ruge yeye ameahidi kufuata au kutii Ombi la mkuu wa Nchi. Sasa habari ya tamko mbona hapa haipo ?

    ReplyDelete