Translate

Wednesday, November 22, 2017

BREAKING NEWS:- KAFULILA NAE AKIMBIA CHADEMA .



Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini (2010-2015 ), Mh David Kafulila amejivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
kwa kile alichokieleza kuwa upinzani wa sasa hauna dhamira ya kweli katika kupambana na ufisadi badala yake wao ndiyo wamekuwa kimbilio la watuhumiwa wa ufisadi. Kafulila alipata umaarufu mkubwa baada ya kusimama kidete kuibua ufisadi ktk kashfa ya Tegeta Escrow

No comments:

Post a Comment