TANZIA: Mwandishi mkongwe, mwanachama wa mtandao wa JamiiForums na aliyewahi kuwa mwandishi wa FikraPevu.com, Mayage S. Mayage amefariki dunia
- Kwa mujibu wa mke wa marehemu, Digna Mayage, Ndg. Mayage amefariki majira ya saa 3 asubuhi, leo Desemba 25, 2017 kwenye hospitali ya Misheni Mbweni alikokuwa amelazwa
No comments:
Post a Comment