Habari zilizonifikia jioni hii kutoka mitandaoni ni kuwa mbunge wa Arumeru Joshua Nassari amepata ajari ya chopper baada ya kuanguka na kunasa kwenye miti Mbunge huyo na pirot wake wako hosipitarini wakipata matibabu!!!!
No comments:
Post a Comment