Rais Jakaya Mrishi Kikwete amesema wasanii was bongo flavor wamekuwa wakiwaliwadha watanzania wakati nchi ikiendelea kufanya madudu kwa upande wa mpira wa miguu
Hayo yamesemwa wakati raisi akilihutubia bunge la Jamuhuri ya Muungano . Na amesema kwa kutambua kazi zao aliamua kuwaleta watu muhimu kutoka Marekani ili kuwapa elimu zaidi ya maswala ya muziki
Kati ya watu waliowahi kuletwa na mheshimiwa ni meneja wa Ludacris na producer David Burner na ameahidi kufanya hivyo tena kwa huu mda wake uliobakia!!
No comments:
Post a Comment