Ratiba mpya ya vikao imetolewa na katibu mwenezi taiga ndugu Nape Mnauye baada ya ratiba ya awali kuvunjwa
SABABU YA KUVUNJA RATIBA
Ratiba ya awali haikufuatwa kwa sababu ya kujitokeza kwa shughuri za mheshimiwa rais na Mwenyekiti wa chama
Shughuri hizo za kichama na serikali zilisababisha kucherewa kwa ratiba ya awali
Awali pia kulikuwa na vikao vya mashauriano ili kuhakikisha vikao vya mchujo vinamalidhika kwa usalama
RATIBA YA VIKAO
4 - 7. Kikao cha usalama na maadili
8. - 12. Kamati kuu kupitisha majina matano
Futari
2 usiku. Kikao cha Halmashauri kuu kupitisha majina matatu ili mkutano mkuu utakaoanza kesho asubuhi upokee majina matatu na kumchagua mmoja atakaepepelusha bendera ya CCM
No comments:
Post a Comment