Anaandika *HajiSManara* Unafika Pemba kutokea Airport hadi kinyasini Wete Pemba kote barabarani watu wametinga jezi za Mnyama.
Wapemba hawajali kuhusu matokeo ya juzi,,before sikuwa najua Pemba ina Simba wengi kiasi hiki aiseee.
Captain #johnbocco sema na wenzio bro,,,mtakuja kuua watu Kwa makundi siku moja ,naambiwa Dar kuna Shabiki kajipiga kitanzi huko,,,half ya kwanza mmecheza kama mmelazimishwa au mnadai kitu,,mmezinduka second half na wao wakaweka contena mechi ikaisha,,,,
Wallah kigoma tukifungwa naacha hii kazi narudi Shamba kulima,,,,viongozi wanatimiza majukumu yao,Washabiki wanajaa kuliko Washabiki wao kwa mbali mno,,mm natukanwa kutwa Kwa kuwapa nguvu nyie lakini mmeenda kutuangusha,,,,
Sioni sababu ya kuendelea na kazi hii kama wachezaji hawajui nn maana ya uzito wa Derby,,,Wachezaji wao wanajitoa asilimia elfu moja toka dakika ya kwanza,,,cc tunazinduka kushakuchwa,,,,kaeni wenyew zungumzeni na thamani ya jezi ya #simbasctanzania ilindwe.
No comments:
Post a Comment