Kuna tetesi zimezagaa jimboni Kasuru mjini kuwa Mbunge wa jimbo hilo Mh Moses Machari amekihama chama chake cha NCCR MAGEUZI na kuhamia ACT Wazalendo
Na tarehe 28 mwezi huu anategemea kuwahutubia wananchi wa jimbo hilo na kuwaeleza adhima yake hiyo ya kukihama chama huku sababu kuu ikitajwa kuwa ni kulidhika na sera za chama cha ACT Wazalendo!
No comments:
Post a Comment