Translate

Sunday, July 12, 2015

HAWA NDIYO WATAKAOPEPERUSHA BENDERA YA CCM

Dr John Pombe Magufuli ndiyo atakayepeperusha bendera ya CCM kwenye mbio za kuusaka urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na atakuwa na mgombea mwenza Bi Samia Saluhu Hassan

No comments:

Post a Comment