Habari kutoka ndani ya CCM zinasema kuwa Dr John Pombe Magufuri anaongoza kwa wingi wa kura
Chanzo cha habari kutoka ndani ya CCM amesema kuwa Magufuri anaongoza kwa kujikusanyia jumla ya kula 1560 akifuatiwa na Asha-Rose Migiro aliye jizolea kura 702 huku Balozi Amina salum Ali akipata kura 349
Kinachosubiliwa mpaka sasa no kumtangaza mshindi kwenye mkutano mkuu unaoendelea asubuhi hii!
No comments:
Post a Comment