Translate

Saturday, July 11, 2015

GABACHORI AKAMATWA NA MABEGI YA HELA DODOMA

MTU mmoja mwenye asili ya ki Asia  amekamatwa na mabegi mawili yaliyojaa hela na inasemekana no kwa ajili ya kugawa kwa wajumbe wa NEC

Mhindi huyo amekamatwa kwenye hotel ya st Gasper mjini Dodoma ambayo inasemekana ni iliyokuwa kambi ya nywele nyeupe

Nani kamtuma?

No comments:

Post a Comment