Translate

Saturday, July 11, 2015

NAPE ADHIBITISHA

Katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi ndugu Nape Mnauye amedhibitisha kuwa taarifa zilizozagaa kuanzia usiku mpaka asubuhi kuhusu majina matano bora ya wagombea kuwa ni kweli

Ametoa taarifa hiyo asubuhi ya leo mda mfupi kabla ya kikao cha NEC Hakijakaa kuchagua majina matatu ambayo yatapelekwa mkutano mkuu kwa ajili ya kuchagua jina moja la mgombea ambaye atapeperusha bendera ya CCM

No comments:

Post a Comment