Translate

Monday, August 3, 2015

JESHI LA NIGERIA LAOKOA ZAIDI YA WATU 180

Jeshi la Nigeria limesema limeokoa zaidi ya watu 180 wengi wao wakiwa wanawake na watoto kutoka mikononi mwa kundi hatari la Boko Haram katika mji wa Borno
  Kupitia msemaji wa jeshi hilo kwa vyombo vya habari pia kambi kadhaa za kundi hilo zimeteketezwa kwenye mji wa Maiduguri na kiongozi mwandamizi wa kundi hilo kukamatwa
 
  Taarifa hiyo haikusema ni lini opereni hiyo ilifanyika,
  

No comments:

Post a Comment