Translate

Thursday, August 6, 2015

Prof LIPUMBA AJIUZURU

Professor Lipumba amejiuzuru nyadhifa zake ndani ya chama leo asubuhi
Akiongea na waandishi wa habari leo asubuhi kwenye hotel ya Peacock jijini Dar es salaam amesema hawezi kuendelea kushiriki katika mambo yanayoendelea kwa sababu vitu vingi vimekiukwa ila akasema ataendelea kuwa mwanachama wa kawaida!

No comments:

Post a Comment