Mgombea uraisi kwa tiketi ya CHADEMA Mh LOWASA ameanza kampeni za udini baada ya hapo jana kusema ni mda wa warutheri kutoa Raisi na akaomba waumini wote wamuombee
Maneno hayo aliyasema jana alipohudhuria ibaada ya jumapili kwenye kanisa la kirutheri mjini nzega kabla ya kukamilisha kampeni zake mkoani Tabora!
Jionee video yake wakati akiomba kura kanisani...........
No comments:
Post a Comment