Leo asubuhi alipokuwa akiondoka jijini hapo kwa usafili wa barabara kama kawaida yake alisimamishwa mara kadhaa na wananchi huku wakimwomba awaachie neno!
Shuhudia mwenyewe picha za tukio zima kuanzia jana uwanjani mpaka leo alipokuwa akiwaaga!
N
Alipokuwa anawasili uwanjani
N
Alipokuwa anawasili uwanjani
Leo anategemea kutikisa wilaya ya Sengerema baada ya Jana kuichakaza vilivyo wilaya ya Magu Kwimba na Misungwi
No comments:
Post a Comment