Translate

Sunday, October 4, 2015

MZEE KINGUNGE AJITOA RASMI CCM

Mzee Kingunge Ngombale Mwiru ametangaza kujitoa rasmi ndani ya chama cha mapinduzi CCM kwa kile alichodai ukiukwaji mkubwa was katiba ndani ya chama wakati wa uteuzi wa Mgombea Uraisi ndani ya CCM
   
        Pia amesema kuwa anaachana na siasa na wala hategemei kujiunga na chama chochote cha kisiasa japo kadai anaunga mkono MABADILIKO

No comments:

Post a Comment