Translate

Wednesday, October 28, 2015

TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR {ZEC} YAFUTA UCHAGUZI

Tume ya uchaguzi Zanzibar imefuta uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 25 mwezi huu kutokana na ukiukwaji mkubwa wa haki na sheria za tume ya uchaguzi

No comments:

Post a Comment