Takriban wanawake 14 kutoka kisiwani Zanzibar
nchini Tanzania wanaotuhumiwa kukiunga
mkono chama tawala cha mapinduzi CCM katika
uchaguzi uliopita kinyume na matakwa ya
waume zao wamepewa talaka.
Kulingana na gazeti la Zanzibar daily Newspaper.
Watalakiwa hao wamesema kuwa wanaume zao
waliamua kuwapatia talaka nyakati tofauti
kutokana na tofauti za kisiasa kwa mujibu wa
gazeti hilo.
Limeongezea kwamba wanaharakati kutoka kwa
muungano wa mawakili wanawake kisiwani
pamoja na mungano wa wanahabari wa kike
nchini Tanzania wamesikia kuhusu visa kama
hivyo na wameahidi kufuatilia swala hilo.
Translate
Tuesday, November 17, 2015
WAPEWA TALAKA KWA KUUNGA MKONO CCM HUKO ZANZIBAR!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment