Translate

Sunday, December 27, 2015

GEITA; WATOTO WENYE UKIMWI WANANYANYAPALIWA


Watoto wanaozaliwa au kufiwa na Wazazi wao kwa ugonjwa wa ukimwi wamekuwa wakiishi katika maisha magumu ya unyanyapaa kutokana na jamii inayowazunguka kutokubali kuwalea watoto hao na kuishia kulelewa katika vituo vya watoto

        Angalia video kutoka Geita info kwa habari zaidi...

Mjini Geita kuna vituo viwili vinavyowalea watoto wanaoishi na virusi vya ukimwi na watoto wanaolelewa hapo baadhi yao wametelekezwa na familia zao kwa kutupwa huku bado jamii hasa ya vijijini ikiongoza kwa matukio ya kuwanyanyapaa watoto hao.

No comments:

Post a Comment