Marufuku! Mama mzazi wa staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’,
Lucresia Karugila ametia ngumu mwanaye huyo kuondoka nyumbani kwake na
kwenda kuishi peke yake kwa kuwa bado anahitaji zaidi kufuata maadili
yake.
Mama Lulu aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, hawezi kumruhusu Lulu kwenda
kupanga na kuishi peke yake wakati bado ni mdogo na kwamba bado
anahitaji aishi katika maadili ya mzazi.
Chanzo:GPL
No comments:
Post a Comment