Translate

Wednesday, February 24, 2016

KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI DAR WAKUSANYA 1.9 BILIONI KWA MWEZI HUU

Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda Maalumu ya Dar, kimetangaza kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 1.9 kwa mwezi Februari 2016.

-Makusanyo hayo yametokana na faini za ukamataji wa makosa ya usalama barabarani

No comments:

Post a Comment