Translate

Wednesday, February 24, 2016

HARMONIZA: SITOKI KIMAPENZI NA HUDDAH..


harmonize
Msanii wa bongo fleva ambaye yuko chini ya lebo ya wasafi classic,Harmonize amekanusha kuwa anatoka kimapenzi na staa wa Kenya Hudda Monroe.
Harmonize amekuwa akipost picha za Huddah na huddah pia amekuwa akipost picha za harmonize kwa kitambo sasa kitu kilichofanya kuenea kwa tetesi kuwa wawili hao wako kwenye mahusiano ya kimapenzi.
Kwenye mahojiano yake na redio moja harmonize amesema,”Hapana mimi sitoki na huddah,ni rafiki yangu tunapigaga stori sana,me ndio nilianza kupost picha zake na yeye akawa anapost ndio hivyo maisha yanaenda
Pia Harmonize aliweka wazi kuwa bibie huyo kutoka Kenya yupo kwenye ardhi ya Tanzania lakini ameshindwa kuonana naye kutokana na yeye kuwa busy na ngoma anayotaka kuachia

No comments:

Post a Comment