Translate

Wednesday, February 24, 2016

KANYAU AENDELEA KUSOTA KORTINI


Daudi Yakubu Adam ‘Kanyau’ (aliyevaa miwani) akiwa wakili wake, John Mallya.
Mfanyabiashara mkubwa jijini Dar aliyepandishwa Mahakama ya Kisutu jijini Dar wiki chache zilizopita kwa mashtaka ya kujipatia mali zinazodhaniwa 
kuibwa au kupatikana kwa njia isiyo halali, Daudi Yakubu Adam ‘Kanyau’(46), ameendelea kusota kortini baada yakesi yake kuhairishwa tena kwa upelelezi kutokamilika.

BOFYA HAPA KUONA VIDEO YAKE 

No comments:

Post a Comment