Translate

Saturday, February 20, 2016

JE WAJUA?: MAMBA KUMEZA MAWE!

Wanyama jamii ya Mamba humeza mawe na kukaa nayuo tumboni kwa mda mrefu
na mawe hayo huitwa Gasrolith.
Mawe hayo huwasaidia mambo kwenye mamboyafuatayo
  1. Humsaidia aweze kuwa na uzito utakaowafanya wazame kina kirefu zaidi kwenye maji
  2. Humsaidia kusaga chakula tumboni
  3. Hufanya tumbo liwe na uzitona kujisikia ameshiba hata kama hajala

Nakujuza hata kama ulikuwa unajua

No comments:

Post a Comment