Taarifa za hivi karibuni ni kuwa machimbo ya wachimbaji wadogo wadogo yanayomilikiwa na MGUSU SACCOS nje kidogo ya mji wa GEITA
kifusi chake kimefukia wachimbaji Wa dhahabu.
Watu waliopo kwenye eneo LA watukio wsnadai kuna maiti zaidi ya 3 na majeruhi kadhaa na taarifa kamili tutaiweka baada ya kauli ya kamanda wa polisi mkoa wa Geita
No comments:
Post a Comment