Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. Paul Makonda amekamata makontena 1115 yenye Sukari ambayo haijafahamika ni ya nani lakini Mkuu huyo ameitaka FDA kumpa matokeo ya upimaji wa sukari hiyo kwa masaa 24 kuona kama ni nzuri kiafya na kwamba wenye sukari hiyo watachukuliwa hatua kali sana itakapobainika ni ya nani. |
No comments:
Post a Comment