Translate

Monday, May 22, 2017

ALICHOKISEMA LUGE BAADA YA RC MAKONDA KUMWITA TAPELI

Ruge  Mutahaba



#KunaMtuAnasemaRugeMuongo
.
.
" Kila mtu ana mtazamo wake, na huwezi kulazimisha mtazamo wa mtu ubadilike. Inasikitisha sana kuona mtu anayesambaza haya mambo ni BOSI WANGU. BOSI
WETU WA MKOA. Yeye akipiga mhuri kitu ndio imekaa hiyo. Yeye ana nguvu zote, sasa akisema hivyo mimi ni tapeli anataka kila mtu Dar es Salaam anione hivyo. Mimi sina nguvu kwa hiyo nachagua kubaki kwenye ninachokiamini........Tangu mwanzo nilisema mimi NATAKA HAYA MAMBO YAISHE. Cha kusikitisha huyu mtu ni kiongozi na angetumia busara ndogo tu kulimaliza lakini anashindwa kumaliza jambo hili kwa busara na anataka kuliendeleza. " - #RugeMutahaba .

No comments:

Post a Comment