Translate

Monday, June 5, 2017

JESHI LA POLISI LIMEZUIA KUTEMBEZA JENEZA LA MWILI WA NDESA PESA



: Jeshi la Polisi limezuia utaratibu wa kutoa heshima za mwisho kwa kuutembeza katika barabara za viunga vya manispaa hiyo, mwili wa Mzee Philemon Ndesamburo .
- Kwa mujibu wa barua iliyotolewa na Ofisi ya Mkuu wa Polisi Moshi, wamezuia shughuli hiyo kwa kuwa leo ni siku ya kazi na kuna shughuli mbalimbali zinazoendelea.

No comments:

Post a Comment