Translate

Saturday, August 19, 2017

BREAKING NEWS: ESTER BULAYA AKAMATWA NA POLISI


Taarifa zilizonifikia kutoka Bunda katika Mkoa wa Mara zinasema kuwa Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya amekamatwa na Jeshi la Polisi Mara kwa agizo la Mkuu wa Wilaya Tarime Glorious Luoga.

No comments:

Post a Comment