Translate

Saturday, August 12, 2017

VURUGU ZAANZA KWENYE MITAA YA NAIROBI

Ghasia zimechipuka eneo la Kibera jijini Nairobi baada ya Uhuru Kenyatta kutawazwa mshindi wa uchaguzi wa 2017. Kando na Kibera, Mathare, Huruma, Kangemi na Kiamaiko kunashudiwa rabsha huku stima zikikatwa katika baadhi ya mitaa hii. Kwengineko katika kaunti za Kisumu, Homabay, Siaya na Migori pia kunashuhudiwa ghasia.

Picha hizi tunaarifiwa ni za Kibera.

No comments:

Post a Comment