Translate

Saturday, November 11, 2017

LIPSTICK ZA WEMA SEPETU ZAFUNGIWA.

Serikali yazifungia rangi za midomo zinazozalishwa na Mwanadada Wema Sepetu. Rangi hizo zinajulikana kwa jina la "Kiss".


- Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA) pamoja na Shirika la Viwango Nchini(TBS) wamebaini kuwa rangi hizo hazina ubora kwa matumizi ya binadam.

No comments:

Post a Comment