Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekataza vyama vya siasa kuzungumza mambo yasiyohusiana na kumnadi mgombea wake kwenye kampeni za uchaguzi wa madiwani zinazoendelea nchini.
- Pia imekataza kufanya kampeni katika Kata isiyohusika hata kama ni jirani.
No comments:
Post a Comment