Translate

Monday, July 6, 2015

STEPHEN KESHI AFUKUZWA KAZI

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Nigeria Stephen Keshi ameachishwa kazi
Hatua hiyo imekuja wiki mbili baada ya chama cha soka nchini Nigeria NFF kumlalamikia mwalimu huyo baada ya kuomba kazi nchini Ivory Coast wakati bado ana mkataba harali na NFF
Hata hivyo mwalimu huyo Keshi (53) amemlalamikia wakala wake kwa kupeleka jina lake bila kumpa taarifa
Nafasi yake imechukuliwa na Shaibu Amodu

No comments:

Post a Comment