Translate

Monday, July 6, 2015

BARABARA YA AJABU

Hii ni moja kati ya barabara za ajabu sana chini ya jua
Kwani katikati ya barabara ni mpaka wa nchi mbili kati ya Germany na Netherland
Kwa hiyo nyumba za upande mmoja ni Germany na nyumba za upande wa pili ni Netherland!

Kama ulikuwa hujui ndo nakujuza!!!

No comments:

Post a Comment