Maelfu ya wakazi wa jiji la mwanza leo walifurika kwenye uwanja maarufu wa Furahisha ili kumuona na kumsikiliza mgombea uraisi kwa tiketi ya chadema mh Lowasa
Japo mchana kulitokea rabsha kidogo kati ya polisi na wakeleketwa wa ukawa ilioyopelekea polisi kutumia nguvu za ziada na mabomu ya kutoa machozi hiyo haikuwavunja moyo na kuamua kujitokeza kwa wingi uwanjani
No comments:
Post a Comment