Aliyekuwa Katibu Mwenezi Taifa wa CCM Nape Mnauye amefukuzwa kazi!
Habari za uhakika kutoka ndani ya kikao kinachoendelea zinasema Nape ameondolewa kwenye uongozi na nafasi yake kushikwa na John Chiligati
Tuwajuza baadae baada ya kupata habari kamili!
No comments:
Post a Comment